Jaji Mstaafu Robert Kisanga amefariki dunia leo katika Hospitali
ya Regence ya Jijini Dar es Salaam alikokuwa akitibiwa.
Taarifa
za kifo cha Jaji Kisanga zimethibitishwa na Msajili wa Mahakama ya Rufaa John
Kahyoza.
Mbali na Mahakama ya Rufaa, Marehemu Jaji Robert Kisanga alifanya kazi
Baraza la Habari Tanzania (MCT).
Jaji
Robert Kisanga aliteuliwa kuwa Mwenyekiti wa kwanza wa Tume ya Haki za Binadamu
na Utawala Bora kabla ya kustaafu mwaka 2008.
No comments:
Post a Comment