Hailemariam Desalegn, Wszri Mkuu wa Ethiopia aliejiuzulu |
Waziri Mkuu wa Ethiopia, Hailemariam Desalegn, amejiuzulu bila kutarajia kwa jitihada za kukomesha miaka ya machafuko na kisiasa, Shiria la Aljazeera amesema.
Katika taarifa ya ya televisheni, alisema kujiuzulu kwake "ni muhimu kwa jitihada za kufanya marekebisho ambayo yataongoza kwa amani na demokrasia endelevu".
Mr Hailemariam, ambaye alieonfgoza nchi tangu mwaka 2012, pia aliacha ngazi kama mwenyekiti wa umoja wa chama hicho. Mamia ya watu wamekufa katika miaka mitatu ya maandamano ya kupinga serikali.
Maandamano ya kwanza yalianza nchini kote mwaka 2015 pamoja na wito wa mageuzi ya kisiasa na kiuchumi na kukomesha rushwa.
No comments:
Post a Comment