Dkt John Magufuli, Rais wa Tanzania |
Rais wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amewataka
Maafisa wa Uhmiaji kujitathimni upya juu ya kwa nini hamiajia waingilie
mikoani kwekana kukamatwa kwenye mikpa mingeni.
Rais Magufuli ameyasema hayao leo Januari 31,
wakati akizindua Hati mya ya Kusafiria ya Kielekrotik( E- Passport) kwenye
hafla iliofanyika katika viwanja wa Makao Makuu ya Uhamiaji Kurasini Jijini Dar
es Salaam.
“ Ni kwa nn wahamiaji waingilie Kilimanjaro, wapite
Mamyara, Singida na Mikoa Mingine mpaka akakamatwe akamatwa Mbeya?” alihoji
Rais Magufuli.
“Ina maana huko waliko ingilia hakuana maafisa
uhamiaja wa mikoa walioingilia?” Aliendelea kuhoji.
Aidha Rais
Magufuli aliwataka mafisa mikioana kuwashusha vyeo wasidizi wake endepo
wahamiaji watapita mikoa husika bila kuwakamata ili kuongeza uwajibikaji.
“Naagiza
Maafisa wa Mikoa yote kuwashusha vyoe au hata nyota ili wajifunzi, hii italeta
uwajibikaji”, Alisema Magufuli.
Rais
Magufuli pia ameahidi kuwapatia shilingi Bilioni 10 kwa ajili ya kujenga Jengo
jipya mjini Dodoma.
Akimkaribisha
Rais, Waziri Mkuu wa Mambo ya Ndani, DKt Mwingulu Nchemba amesema kuwa Wizara
yake itaendelea kufanya kazi kwa weledi kuhakikisha kuwa Tanzania inaendelea
kuwa na amani na utulivu.
Naye
Mkurungenzi wa Uhamiaji Dkt Anna Peter Makakara amesema kuwa ePassport zimetengenezwa kwa
Teknolojia ya hali ya juu ambayo itahifadhi nyaraka muhumi hiyo kuondoa
undanganyifu unaofanywa na watu wasio waaminifu.
Aidha Dkt
Makakara amemshukuru Rais Magufuli kwa kuwapatia watumishi wa
Idara hiyo nyumba 103. Hati hiyo mpya itauzwa kwa Tsh. 150,000/= na za zamani
zitaendelea kutumiaka mpaka Januari 2020.
Hafla hiyo
imehudhuriwa na Viongozi mbali mbali wa Kiserikali, Viongozi wa Zanzibar,
Wabunge, Mabalozi wa Nchi mbalimbali na wakazi wa jiji la Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment