Rex Tilerson, Warizi wa Mambo ya Nje wa Marekani |
Hakuna
ishara yeyote inayoainisha kuwa kiongozi huyo mwenye umri wa miaka 65
anasumbuliwa na tatizo kubwa la kiafya.
Msemaji
wake amesema,Tillerson amekuwa kwenye ratiba ngumu katika ziara yake ya Afrika
wakati huo huo akitumia muda mwingi kwenye mazungumzo ya simu kufuatilia kazi
nyingine nchini mwake kama vile suala la Korea Kaskazini.
Maasifa
wamesema watahairisha baadhi ya ratiba ambazo bwana Tillerson alikuwa ameweka
ikiwa ni pamoja na safari yake ya kwenda kuona eneo ambalo ubalozi wa Marekani
ulikuwa umelipuliwa mwaka 1998.
No comments:
Post a Comment