Jose Mourinho alimwambia Paul Pogba 'Mimi ni bwana'
katika dharau ya mafunzo ya ardhi.
Meneja wa Manchester United Jose Mourinho amemwambia kwa
Hasira kiungo wa kati Paul Pogba kuwa
yeye “Ndio Boss” wake.
Kwa mjibu wa Gazeti la Ungereza la The Sun, Mourinho amemwambia Pogba maneno hayo wakati wa mazungumzo
yaliyofanyika katika ofisi yake ya
Carrington.
Pogba alikuwa akizungumza na Kocha huyo juu ya wasiwasi
wa wachezaji na juu ya mbinu na masuala
yake mwenyewe na nafasi aliyocheza wiki kadhaa zililopita.
Naye Bosi wa Mashetani hao amesema kuwa Pogba amekuwa akicheza kwa mihemko kwa wiki za hivi karibuni.
Mfaransa huyo, mwenye umri wa miaka 24, amekuwa amekuwa akiwekwa pembeni kwenye mara mbili mfululizo huku akikosa kwenye kikosi
kinachoanzaza mara tatu katika michezo mitano iliyopita.
No comments:
Post a Comment