Tido Mhando, Mkurugenzi wa Zamani wa TBC |
Bw. Mhando ambaye kwa sasa ni Mkurugenzi Mkuu wa Azam Media anakabiliwa na mashtaka matano ikiwa ni pamoja na Matumizi mabaya ya Madaraka na shitaka la kuisababishia hasara ya kiasi hicho cha Tsh milioni 887 TBC.
Mhando alikuwa mhando alikuwa mkurugenzi wa TBC katia ya Mwaka 1999-2006.
Alianza kazi ya utangazajia mwa 1969 wakati huo ikiitwa Redio Tanzanai Dar es Salaam (RTD) baadaye ailienda nchini Kenya, Uingereza na Baadaye kujea tena RTD inayofahamika kwa sasa kuwa TBC
No comments:
Post a Comment