BREAKING NEWS-- MWANASHERIA MKUU WA KENYA AJIUZULU - NIJUZE NEWS

Breaking news

Nyumba ya Habari Makini na za Uhakika

Pata Habari Mpya kwa kina Kila muda kutoka kwanye vyanzo vya Uhakika

Mikoani leo

Mikoani leo

Tuesday, February 13, 2018

BREAKING NEWS-- MWANASHERIA MKUU WA KENYA AJIUZULU

Mwanasheria mkuu wa Kenya Professa Githu Muigai
Profesa Githu Muigai
Mwanasheria mkuu wa Kenya Profesa Githu Muigai amejiuzulu baada ya kuhudumu kwa miaka sita na nusu.
Rais Uhuru Kenyatta amemshukuru Profesa Githu kwa huduma zake na sasa jaji Paul Kihara Kariuki atachukua mahala pake.
''Nimepokea kwa majuto uamuzi wa mwanasheria mkuu Githu Muigai . Namshukuru kwa huduma yake katika kipindi cha miaka sita na nusu. Nimemteua jaji Paul Kiharara Kariuk''i , Rais Uhuru Kenyatta alichapisha katika mtandao wake wa Twitter.

No comments:

Post a Comment

Mikoani leo

Mikoani leo