Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda leo ametembelea na kutoa
pole kwa Familia ya Wastaafu ya Bwana Edward Bejumula na Bi. Stella
Bejumula walioteseka kwa Miaka Sita bila Makazi baada ya kudhulumiwa
Nyumba yao ambapo ameahidi kulivalia njuga suala hilo kuhakikisha haki
inatendeka bila kuvunja sheria.
No comments:
Post a Comment