BREAKING NEWS.......MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA BUTIAMA ATUMBULIWA - NIJUZE NEWS

Breaking news

Nyumba ya Habari Makini na za Uhakika

Pata Habari Mpya kwa kina Kila muda kutoka kwanye vyanzo vya Uhakika

Mikoani leo

Mikoani leo

Tuesday, January 23, 2018

BREAKING NEWS.......MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA BUTIAMA ATUMBULIWA


.com/
Rais wa Tanzanaia Dkt John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Bitiama Bw. Solomon Ngiliule kutokana na Ubadhirifu wa Fedha.

Waziri mwenye dhamana ya TAMISEM Bw. Selamani Jafo ametoa taarifa ya utenguzi huo.

.com/blogger_img_proxy/

No comments:

Post a Comment

Mikoani leo