AJALI YA MOTO YAUA ZAIDI YA WATU 30 - NIJUZE NEWS

Breaking news

Nyumba ya Habari Makini na za Uhakika

Pata Habari Mpya kwa kina Kila muda kutoka kwanye vyanzo vya Uhakika

Mikoani leo

Mikoani leo

Friday, January 26, 2018

AJALI YA MOTO YAUA ZAIDI YA WATU 30

Hospitali yaungua moto Korea Kusini
Jengo la Hosiptali likiungua Moto (Picha ya Mtandao)
Zaidi ya watu 30 wamekufa na wengine kadhaa kujeruhiwa katika ajali ya moto uliyotokea katika Hospitali moja nchini Korea Kusini.
 Hata hivyo maofisa wanasema idadi ya waliokufa huenda ikaongezeka kutoka katika ya majeruhi hao.
Imefahamika kuwa moto huo ulianzia katika chumba cha dharura cha Hospitali ya Sejong, kusini mashariki mwa nchi hiyo.
Zaidi ya majeruhi 100 wanasemakana wamo katika jengo la hospitali hiyo
Picha za mitandao ya jamii, zinaonyesha vikosi vya zima moto wakijaribu kukabiliana na moto huo huku kukiwa na moshi mkubwa.

Mwaka jana watu 29 walikufa katika mji wa Echeon, Korea Kusini, na wengine kujeruhiwa baada ya moto kuzuka katika sehemu ya mazoezi ya wazi.

No comments:

Post a Comment

Mikoani leo

Mikoani leo