VIDEO>>MGABE: MNANGAGWA NI "MTOTO ASIYEMTII BABA{" YAKE - NIJUZE NEWS

Breaking news

Nyumba ya Habari Makini na za Uhakika

Pata Habari Mpya kwa kina Kila muda kutoka kwanye vyanzo vya Uhakika

Mikoani leo

Mikoani leo

Friday, March 16, 2018

VIDEO>>MGABE: MNANGAGWA NI "MTOTO ASIYEMTII BABA{" YAKE


Rais wa Zamani wa Zimbabwe, Robert Mgabe amesema kuwa rais wa Sasa Emerson Mnamngagwa ni "mtoto asiyemtii baba " yake na Kuapa kuwa atarudi zimbabwe kuendelea na Urais.

Mgab amesema hayo wakati akihojiwa na Kitucha cha Runinga cha ITV,- inchini Afrika Kusini.

 Rais huyo ailiongoza Zimbabwe Tangu mwaka 1980  amesema kuwa Kwa sasa Rais Mnangagwa si   Halali wa nchi hiyo kwan hakuchaguliwa na wananchi wa Zimbabwe Kikatiba bali alifanya "mapinduzi ya Kijeshi"kuingia ikulu

  Mzee Mgabe mwenye miaka 94 amesisitiza kuwa anataka kurudi nchini Humu kuendelea na wadhifa wake wa Urais.

Kuhusu kumuwekea Mnangagwa sumu kwenye chakula, Mgabe amesema kuwa mke wake (Grace Mgabe) hawezi kufanya kitedndo hicho kwana wao ni familia ya Kikristo.

Aidha amekiri kuwa hajafanya vizuri kwenye suala la haki za binadama na kwamba walioandamana jijini Harare kumpinga walikuwa milioni moja hivyo hawawezi kuwakilisha mamilioni ya wananchi wote wa Zimbabwe.

No comments:

Post a Comment

Mikoani leo

Mikoani leo