VIDEO>> MBOWE NA VIGOGO WA CHADEMA WALIOVYOFIKISHWA MAKAMANI - NIJUZE NEWS

Breaking news

Nyumba ya Habari Makini na za Uhakika

Pata Habari Mpya kwa kina Kila muda kutoka kwanye vyanzo vya Uhakika

Mikoani leo

Mikoani leo

Tuesday, March 27, 2018

VIDEO>> MBOWE NA VIGOGO WA CHADEMA WALIOVYOFIKISHWA MAKAMANI


Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe na viongozi wengine 4 wa chama hicho wamefikishwa mahakama ya Kisutu, baada ya kuwekwa Mahabusu Kituo Kikuu cha Polisi Dar. Waliofikishwa Mahakamani ni Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe, Katibu Mkuu CHADEMA Dr. Vicent Mashinji, Naibu Katibu Mkuu Bara wa CHADEMA John Mnyika, Naibu katibu Mkuu Zanzibar Salum Mwalimu, Mbunge wa Iringa Mjini Peter Msigwa na Mbunge wa Tarime Mjini Esther Matiko.

No comments:

Post a Comment

Mikoani leo

Mikoani leo